Tue May 31 2022 09:08:46 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
d3869060a2
commit
cc2ee6ac25
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 10 Basi palikuwapo mwanafunzi Dameski jina lake Anania. Bwana alisema naye katika maono, "Anania!" Akasema, "Ona, nipo hapa, Bwana. \v 11 "Bwana akamwambia, "Inuka uenda zako katika mtaa uitwao Nyofu, na katika nyumba ya Yuda na ukaulize mtu kutoka Tarso aitwaye Sauli; maana angali anaomba; \v 12 Ameona katika maono mtu jina lake Anania akiingia na kumwekea mikono juu yake ili kwamba apate kuona tena.
|
||||
\v 10 Basi palikuwapo mwanafunzi Dameski jina lake Anania. Bwana alisema naye katika maono, "Anania!" Akasema, "Ona, nipo hapa, Bwana. \v 11 "Bwana akamwambia, "Inuka uenda zako katika mtaa uitwao Nyofu, na katika nyumba ya Yuda na ukaulize mtu kutoka Tarso aitwaye Sauli; maana angali anaomba; \v 12 Ameona katika maono mtu jina lake Anania akiingia na kumwekea mikono juu yake ili apate kuona tena.
|
Loading…
Reference in New Issue