Sat Jun 04 2022 16:27:16 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-04 16:27:17 +03:00
parent 5b331af8eb
commit cb951f2d0d
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Nikasema, 'Bwana, wao wenyewe wanajua niliwafunga gerezani na kuwapiga wale waliokuamini katika kila sinagogi. \v 20 Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, Mimi pia nilikuwa nimesimama karibu na nikiridhia na nikiwa ninalinda nguo za wale waliomwua.' \v 21 Lakini aliniambia, 'Enenda, kwa sababu mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa mataifa."'
\v 19 Nikasema, 'Bwana, wao wenyewe wanajua niliwafunga gerezani na kuwapiga wale waliokuamini katika kila sinagogi. \v 20 Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, Mimi pia nilikuwa nimesimama karibu na nikiridhia nakulinda nguo za wale waliomwua.' \v 21 Lakini aliniambia, 'Enenda, kwa sababu mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa mataifa."'