Tue May 31 2022 17:21:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 17:21:31 +03:00
parent f84e4a1004
commit c96e909765
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Kwa hiyo walikaa huko kwa muda mrefu, wakiongea kwa ujasiri kwa nguvu ya Bwana, huku akitoa uthibitisho kuhusu ujumbe wa neema yake. Alifanya hivi kwa kutoa ishara na majaabu vifanywe kwa mikono ya Paulo na Barnaba. \v 4 Lakini eneo kubwa la mji liligawanyika: baadhi ya watu walikuwa pamoja na Wayahudi, na baadhi pamoja na mitume.
\v 3 Kwa hiyo walikaa huko kwa muda mrefu, wakiongea kwa ujasiri kwa nguvu ya Bwana, huku akitoa ushahidi kuhusu ujumbe wa neema yake. Alifanya haya kwa kuwapa ishara na majaabu vifanywe kwa mikono ya Paulo na Barnaba. \v 4 Lakini eneo kubwa la mji liligawanyika: baadhi ya watu walikuwa pamoja na Wayahudi, na baadhi pamoja na mitume.