diff --git a/09/13.txt b/09/13.txt index c4b45e5..4f58e3d 100644 --- a/09/13.txt +++ b/09/13.txt @@ -1,2 +1,2 @@ \v 13 Lakini Anania akajibu, "Bwana, nimesikia kutoka kwa wengi kuhusu mtu huyu, kwa kiasi gani amewafanyia mabaya watu wako watakatifu walioko Yerusalemu; \v 14 Anayo mamlaka kutoka kwa kuhani mkuu kuweka katika vifungo kila mtu - hapa anayeliitia jina lako." \v 15 Lakini Bwana akamwambia, "Nenda, kwa maana yeye ni chombo teule kwangu, kulibeba jina langu mbele ya watu wa Mataifa na wafalme na wana wa Israeli. \v 16 Maana nitawaonesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya jina langu". \ No newline at end of file + hapa anayeliitia jina lako." \v 15 Lakini Bwana akamwambia, "Nenda, kwa maana yeye ni chombo teule kwangu, kulibeba jina langu mbele ya watu wa Mataifa na wafalme na wana wa Israeli. \v 16 Kwa maana nitamwonyesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya jina langu". \ No newline at end of file