Thu Jun 16 2022 17:00:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 17:00:11 +03:00
parent 7f29cdd9d2
commit c51300d38c
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 40 Kisha, waliwaita mitume ndani na kuwachapa na kuwaamuru wasinene kwa jina la Yesu, na wakawaacha waende zao. \v 41 Waliondoka mbele ya baraza wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuteseka na kutoheshimiwa kwa ajili ya Jina hilo. \v 42 Kwa hiyo, kila siku walikuwa wakiendelea kila siku kufundisha na kutangaza ndani ya hekalu na kutoka nyumba hadi nyumba waliendelea kufundisha na kuhubiri Yesu kuwa ni Masihi.
\v 40 Kisha, waliwaita mitume ndani na kuwachapa na kuwaamuru wasinene kwa jina la Yesu, na wakawaacha waende zao. \v 41 Waliondoka mbele ya baraza wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuteseka na kutoheshimiwa kwa ajili ya Jina hilo. \v 42 Kwa hiyo kila siku, ndani ya hekalu na kutoka nyumba hadi nyumba, walikuwa wakiendelea kufundisha na kutangaza habari njema kwamba na kuhubiri Yesu kuwa ni Masihi.