From c00bcfb3dc93ceaee27438a88d4a1fa3bfa14624 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Tue, 31 May 2022 12:40:52 +0300 Subject: [PATCH] Tue May 31 2022 12:40:51 GMT+0300 (East Africa Time) --- 09/40.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/09/40.txt b/09/40.txt index b067676..f72559e 100644 --- a/09/40.txt +++ b/09/40.txt @@ -1 +1 @@ -\v 40 Petro akawatoa wote nje ya chumba, akapiga magoti akaomba, kisha akaugekia mwili, akasema, "Tabitha, amka". Basi akafungua macho yake na alipomwona Petro akaketi. \v 41 Kisha Petro akampa mkono wake akamwinua, na alipowaita watu watakatifu wa mungu na wajane, alimwasilisha kwao akiwa hai \v 42 Jambo hili likajulikana Yafa yote, na watu wengi wakamwamini Bwana. \v 43 Ilitokea hivyo Petro akakaa siku nyingi Yafa pamoja na mtu aitwaye Simoni, mtengenezaji wa ngozi. \ No newline at end of file +\v 40 Petro akawatoa wote nje ya chumba, akapiga magoti akaomba, kisha akaugekia mwili, akasema, "Tabitha, amka". Basi akafungua macho yake na alipomwona Petro akaketi. \v 41 Kisha Petro akampa mkono wake akamwinua, na alipowaita watu watakatifu wa mungu na wajane, alimwasilisha kwao akiwa hai \v 42 Jambo hili likajulikana Yafa yote, na watu wengi wakamwamini Bwana. \v 43 Ilitokea hivyo Petro akakaa siku nyingi huko Yafa na mtu mmjo jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi. \ No newline at end of file