Tue May 24 2022 16:42:08 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-24 16:42:08 +03:00
parent 453204c6f1
commit beea7c0e71
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 2 Mitume kumi na wawili waliwaita kusanyiko lote la wanafunzi na kusema, "Siyo sahihi kwetu kuliacha neno la Mungu na kuhudumia mezani. \v 3 Kwa hiyo, ndugu, chagueni, wanaume saba, kutoka miongoni mwenu, watu wema, waliojaa Roho na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi huduma hii. \v 4 Na sisi, tutaendelea daima katika kuomba na katika huduma ya neno."
\v 2 Mitume kumi na wawili waliwaita kusanyiko lote la wanafunzi na kusema, "Siyo sahihi kwetu kuliacha neno la Mungu na kuhudumia mezani. \v 3 Basi, ndugu, mnapaswa kuchagua, wanaume saba, kutoka miongoni mwenu, watu wema, waliojaa Roho na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi huduma hii. \v 4 Na sisi, tutaendelea daima katika kuomba na katika huduma ya neno."