diff --git a/02/22.txt b/02/22.txt index b43c29a..8f6c7e7 100644 --- a/02/22.txt +++ b/02/22.txt @@ -1 +1 @@ -\v 22 Watu wa Israeli, sikieni maneno haya: Yesu wa Nazareti, mwanadamu aliyeithinishwa na Mungu kwenu kwa matendo ya uweza na maajabu, na ishara ambazo Mungu alitenda kupitia Yeye katikati yenu, kama ninyi wenyewe mnavyojua- \v 23 Kwa sababu ya mpango uliokusudiwa tangu mwanzo, na maarifa ya Mungu, alitolewa, na ninyi, kwa mikono ya watu wahalifu, mlimuua kwa kumsulubisha, \v 24 lakini Mungu alimwinua, akauondoa kumilikiwa na uchungu wa mauti kwake, kwasababu haikuwezekana kwake kumilikiwa na huo. \ No newline at end of file +\v 22 Watu wa Israeli, sikieni maneno haya: Yesu wa Nazareti, mwanadamu aliyeithinishwa na Mungu kwenu kwa matendo ya uweza na maajabu, na ishara ambazo Mungu alitenda kupitia Yeye katikati yenu, kama ninyi wenyewe mnavyojua- \v 23 Kwa sababu ya mpango uliokusudiwa tangu mwanzo, na maarifa ya Mungu, alitolewa, na ninyi, kwa mikono ya watu wahalifu, mlimuua kwa kumsulubisha, \v 24 lakini Mungu alimwinua, akauondoa na uchungu wa mauti kwake, kwasababu haikuwezekana kwake kumilikiwa na huo. \ No newline at end of file