From ad177f3d7d5fdd2d11ad005385cdde7a09d5fa1e Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Sat, 9 Jul 2022 00:55:35 +0300 Subject: [PATCH] Sat Jul 09 2022 00:55:34 GMT+0300 (East Africa Time) --- 10/30.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/10/30.txt b/10/30.txt index 0fb18a3..9e01d32 100644 --- a/10/30.txt +++ b/10/30.txt @@ -1 +1 @@ -\v 30 Kornelio akasema, "Siku nne zilizopita, wakati kama huu, nilikuwa naomba muda wa saa tisa mchana ndani ya nyumba yangu; na tazama, mtu alisimama mbele yangu mwenye mavazi yenye kung'aa. \v 31 Akasema 'Kornelio maombi yako yamesikiwa na Mungu, na zawadi zako kwa masikini zimemkumbusha Mungu juu yako. \v 32 Hivyo tuma mtu Yafa na akamwite mtu mmoja anayeitwa Simoni aje kwako, ambaye pia huitwa Petro. ambaye anayeishi kwa mtengenezaji wa Ngozi mmoja aitwaye Simoni ambaye nyumba yake iko pembeni mwa bahari'. \v 33 Kwa hiyo mara moja nilikutumana. Wewe ni mwema umekuja. Sasa basi, sisi sote tupo hapa mbele za Mungu kusikia kila kitu ambacho umeangizwa na Bwana kusema." \ No newline at end of file +\v 30 Kornelio akasema, "Siku nne zilizopita, wakati kama huu, nilikuwa naomba muda wa saa tisa mchana ndani ya nyumba yangu; na tazama, mtu alisimama mbele yangu mwenye mavazi yenye kung'aa. \v 31 Akasema 'Kornelio maombi yako yamesikiwa na Mungu, na zawadi zako kwa masikini zimemkumbusha Mungu juu yako. \v 32 Hivyo tuma mtu Yafa na akamwite mtu mmoja anayeitwa Simoni aje kwako, ambaye pia huitwa Petro. anaishi kwa mtengenezaji wa Ngozi mmoja aitwaye Simoni ambaye nyumba yake iko pembeni mwa bahari'. \v 33 Kwa hiyo mara moja nilikutumana. Wewe ni mwema umekuja. Sasa basi, sisi sote tupo hapa mbele za Mungu kusikia kila kitu ambacho umeangizwa na Bwana kusema." \ No newline at end of file