Mon Jun 06 2022 19:49:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-06 19:49:26 +03:00
parent 93c0f0ddf9
commit a7abc0e4a7
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Alipokuwa Paulo amemaliza kujitetea, Festo alisema kwa sauti kubwa, 'Paulo, wewe ni mwendawazimu! masomo yako yamekufanya uwe mwendawazimu. \v 25 Lakini Paulo akasema, Mimi si mwendawazimu, mheshimiwa Festo; lakini ninatangaza maneno ya ukweli na hukumu ya . \v 26 Kwa kuwa mfalme anajua kuhusu mambo haya; na hivyo, ninaongea kwa uhuru kwake, kwa maana nina hakika kwamba hakuna lolote lililofichwa kwake; kwa kuwa hili halijafanywa pembeni.
\v 24 Alipokuwa Paulo amemaliza kujitetea, Festo alisema kwa sauti kubwa, 'Paulo, wewe ni mwendawazimu! masomo yako yamekufanya uwe mwendawazimu. \v 25 Lakini Paulo akasema, Mimi si mwendawazimu, mheshimiwa Festo; lakini ninatangaza maneno ya ukweli na hukumu ya kweli. \v 26 Kwa kuwa mfalme anajua kuhusu mambo haya; na hivyo, ninaongea kwa ujasiri kwake, kwa maana nina hakika kwamba hakuna lolote lililofichwa kwake; kwa kuwa hili halijafanywa pembeni.