Tue May 31 2022 17:31:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 17:31:32 +03:00
parent a7b811f620
commit a1bd648800
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Kwa pamoja watu wa mataifa na Wayahudi (pamoja na viongozi wao) walifanya jaribio (walipanga njama) la kuwatenda vibaya na kuwaponda kwa mawe Paulo na Barnaba. Wakati wamataifa na Wayahudi walipojaribu kuwashawishi viongozi wao kuwatendea vibaya na kuwaponda mawe Paulo na Barnaba, \v 6 wakalitambua hilo na kukimbilia katika miji ya Likaonia, Listra na Derbe, na maeneo yanayozunguka pale, \v 7 na huko waliihubiri injili.
\v 5 Kwa pamoja watu wa mataifa na Wayahudi (pamoja na viongozi wao) walifanya jaribio la kuwatenda vibaya na kuwaponda kwa mawe Paulo na Barnaba, \v 6 wakalitambua hilo na kukimbilia katika miji ya Likaonia, Listra na Derbe, na maeneo yanayozunguka pale, \v 7 na huko waliihubiri injili.