Thu Jun 30 2022 15:30:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-30 15:30:25 +03:00
parent ed5b5d6b9b
commit a0b60f9ed1
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 Baada ya kuwaacha huru, Petro na Yohana walikuja kwa watu wao na wakawapasha habari yote ambayo makuhani wakuu na wazee walikuwa wamewaambia. \v 24 Walipoyasikia, walipaza sauti zao kwa pamoja kwa Mungu na kusema, "Bwana, wewe uliyeumba mbingu na dunia na bahari na kila kitu ndani yake, \v 25 Wewe ambaye ulinena kwa oho mtakatifu kupitia kwa kinywa cha mtumishi wako, baba yetu Daudi, 'Kwanini watu wa mataifa wamefanya ghasia, na watu wametafakari mambo yasiyo na faida?'
\v 23 Baada ya kuwaacha huru, Petro na Yohana walikuja kwa watu wao na wakawapasha habari yote ambayo makuhani wakuu na wazee walikuwa wamewaambia. \v 24 Walipoyasikia, walipaza sauti zao kwa pamoja kwa Mungu na kusema, "Bwana, wewe uliyeumba mbingu na dunia na bahari na kila kitu ndani yake, \v 25 Wewe ambaye ulinena kwa Roho Mtakatifu kupitia kwa kinywa cha mtumishi wako, baba yetu Daudi, 'Kwanini watu wa mataifa wamefanya ghasia, na watu wametafakari mambo yasiyofaa?'

View File

@ -62,6 +62,7 @@
"04-15",
"04-19",
"04-21",
"04-23",
"04-32",
"05-01",
"05-07",