Fri Jun 10 2022 00:25:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-10 00:25:51 +03:00
parent 4f1c69a003
commit 903292f43f
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 37 Sasa waliposikia hivyo, wakachomwa katika mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, "Ndugu, tufanyeje?" \v 38 Na Petro akawaambia, "Tubuni na Mbatizwe, kila mmoja wenu, katika jina la Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi zenu, na mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu. \v 39 Kwakua kwenu ni ahadi na kwa watoto wenu na kwa wale wote walioko mbali, watu wengi kwa kadri Bwana Mungu wetu atakavyowaita."
\v 37 Sasa waliposikia hivyo, wakachomwa katika mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, "Ndugu, tufanyeje?" \v 38 Na Petro akawaambia, "Tubuni na Mbatizwe, kila mmoja wenu, katika jina la Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi zenu, na mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu. \v 39 Kwakua ahadi hii niya kwenu na kwa watoto wenu na kwa wale wote walioko mbali, watu wengi kwa kadri Bwana Mungu wetu atakavyowaita."

View File

@ -1 +1 @@
\v 40 Kwa maneno mengi alishuhudia na kuwasihi; alisema, "Jiokoeni mtoke katika kizazi hiki kiovu." \v 41 Ndipo wakayapokea maneno yake na wakabatizwa, hapo wakaongezeka katika siku hiyo kama nafsi elfu tatu. \v 42 Wakaendelea katika mafundisho ya mitume na ushirikiano, katika kuumega mkate na katika maombi.
\v 40 Kwa maneno mengi alishuhudia na kuwahi; alisema, "Jiokoeni mtoke katika kizazi hiki kiovu." \v 41 Ndipo wakayapokea maneno yake na wakabatizwa, hapo wakaongezeka katika siku hiyo kama nafsi elfu tatu. \v 42 Wakaendelea katika mafundisho ya mitume na ushirikiano, katika kuumega mkate na katika maombi.