Fri Jun 03 2022 22:03:44 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
eb8c248897
commit
8b9e4aa979
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 19 Mabwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limeondoka, waliwakamata Paulo na Sila na kuwaburuza sokoni mbele ya wenye mamlaka. \v 20 Walipowafikisha kwa mahakimu, walisema, "Hawa wanaume ni Wayahudi na wanasababisha ghasia kubwa katika mji wetu. \v 21 Wanafundisha mambo ambayo siyo sheria sisi kuyapokea wala kuyafuata kama Warumi."
|
||||
\v 19 Mabwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limeondoka, waliwakamata Paulo na Sila na kuwaburuza sokoni mbele ya wenye mamlaka. \v 20 Walipowafikisha kwa mahakimu, walisema, "Hawa wanaume ni Wayahudi na wanasababisha ghasia kubwa katika mji wetu. \v 21 Wanatangaza mambo ambayo siyo sheria sisi kuyapokea wala kuyafuata kama Warumi."
|
Loading…
Reference in New Issue