Fri Jul 01 2022 00:58:42 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-01 00:58:43 +03:00
parent 48a1db82a7
commit 89bd3ac6ca
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 33 Wakati mwanga wa mapambazuko ulipokuwa unatokea, Paulo akawatia moyo wote angalau wale kidogo. Akasema, " Siku ya leo ni siku ya kumi na nne ambayo mmekuwa hivyo hivyo kuyalinda maisha yenu na mmekwenda hivyo bila kula, kitu. \v 34 Hivyo nawasihi mshiriki chakula kidogo, kwani hii ni kwa ajili ya kuishi kwenu; na hakuna hata unywele mmoja wa vichwa vyenu utakaopotea. \v 35 Alipokwisha kusema hayo, akachukua mkate akamshukuru Mungu mbele ya macho ya kila mtu. Kisha akaumega mkate akaanza kula.
\v 33 Wakati mwanga wa mapambazuko ulipokuwa unatokea, Paulo akawatia moyo wote angalau wale kidogo. Akasema, " Siku ya leo ni siku ya kumi na nne ambayo mmekuwa hivyo hivyo kuyalinda maisha yenu na mmekwenda hivyo bila kula, kitu. \v 34 Hivyo nawasihi mshiriki chakula kiasi, kwani hii ni kwa ajili ya kuishi kwenu. kwani hakuna hata unywele mmoja wa vichwa vyenu utakaopotea. \v 35 Alipokwisha kusema hayo, akachukua mkate akamshukuru Mungu mbele ya macho ya kila mtu. Kisha akaumega mkate akaanza kula.