Thu Jun 30 2022 18:41:39 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
ca4f499637
commit
881a2a1dbf
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 14 Ila nakiri hili kwako, ya kwamba kwa njia ile ambayo wanaiita dhehebu, kwa njia iyo hiyo ninamtumikia Mungu wa baba zetu, nikiamini mambo yote kulingana na maandiko ya manabii. \v 15 Nina matumaini yaleyale kwa Mungu ambayo hata hao nao wanaungojea, kuja kwa ufufuo wa wafu, kwa wote wenye haki na wasio na haki pia; \v 16 na kwa hili, ninajitahidi ili niwe na dhamira isiyo na hatia mbele za Mungu na mbele ya watu.
|
||||
\v 14 Ila nakiri hili kwako, ya kwamba kwa njia ile ambayo wanaiita dhehebu, kwa njia iyo hiyo ninamtumikia Mungu wa baba zetu, nikiamini mambo yote kulingana na maandiko ya manabii. \v 15 Nina matumaini yaleyale kwa Mungu ambayo hata hao wanayo kwamba kutakuja ufufuo wa wafu, kwa wote wenye haki na wasio na haki pia; \v 16 na kwa hili, ninajitahidi ili niwe na dhamira isiyo na hatia mbele za Mungu na mbele ya watu.
|
Loading…
Reference in New Issue