Fri May 27 2022 10:44:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-27 10:44:24 +03:00
parent a58c109818
commit 877976870f
2 changed files with 1 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Musa alielimishwa katika hekima yote ya Wamisri; alikuwa na nguvu katika maneno na matendo. \v 23 Lakini baada ya kutimiza miaka arobaini, ikamjia katika moyo wake kuwatembelea ndugu zake, wana wa Israeli. \v 24 Alipomwona Mwisraeli akitendewa mabaya, Musa alimtetea na kulipiza kisasi aliyekuwa akimwonea kwa kumpiga Mmisiri: \v 25 akifikiri kuwa ndugu zake watafahamu kwamba Mungu kwa mkono wake, alikuwa akiwapa wokovu, lakini hawakuelewa.
\v 22 Musa alielimishwa elimu yote ya kimisri na alikuwa Mwenye nguvu kwa maneno na MATENDO yake. \v 23 Lakini baada ya kutimiza miaka arobaini, ikamjia katika moyo wake kuwatembelea ndugu zake, wana wa Israeli. \v 24 Alipomwona Mwisraeli akitendewa mabaya, Musa alimtetea na kulipiza kisasi aliyekuwa akimwonea kwa kumpiga Mmisiri: \v 25 akifikiri kuwa ndugu zake watafahamu kwamba Mungu kwa mkono wake, alikuwa akiwapa wokovu, lakini hawakuelewa.

View File

@ -124,7 +124,6 @@
"07-14",
"07-17",
"07-20",
"07-22",
"07-26",
"07-29",
"07-31",