Tue May 31 2022 08:01:23 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
e85c232c2d
commit
83ab3bbc16
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 26 Basi malaika wa Bwana akanena na Filipo na kusema, "Amka na uende kusini katika njia iendayo chini ya Yerusalemu kuelekea Gaza." ( Njia hii iko katika jangwa). \v 27 Akaamka na kwenda. Tazama, kulikuwa na mtu wa Ethiopia, towashi mwenye mamlaka kuu chini ya Kandasa; malkia wa Waethiopia. Aliyewekwa juu ya hazina yake yote; naye alikuwa amekwenda Yerusalemu kuabudu. \v 28 Alikuwa akirejea ameketi garini mwake akisoma Kitabu cha nabii Isaya.
|
||||
\v 26 Basi malaika wa Bwana akanena na Filipo na kusema, "Amka na uende kusini katika njia iendayo chini ya Yerusalemu kuelekea Gaza." ( Njia hii iko katika jangwa). \v 27 Akaamka na kwenda. Tazama, kulikuwa na mtu wa Ethiopia, towashi mwenye mamlaka kuu chini ya Kandasa; malkia wa Waethiopia. Ndiye aliyekuwa msimamizi wa hazina yake yote; naye alikuwa amekwenda Yerusalemu kuabudu. \v 28 Alikuwa akirejea ameketi garini mwake akisoma Kitabu cha nabii Isaya.
|
Loading…
Reference in New Issue