From 82eec1e0218b8e00919d4a1df6aec0a099a4be3d Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 16 Jun 2022 16:20:11 +0300 Subject: [PATCH] Thu Jun 16 2022 16:20:10 GMT+0300 (East Africa Time) --- 05/19.txt | 2 +- manifest.json | 1 + 2 files changed, 2 insertions(+), 1 deletion(-) diff --git a/05/19.txt b/05/19.txt index ab1a434..b9c08a2 100644 --- a/05/19.txt +++ b/05/19.txt @@ -1 +1 @@ -\v 19 Na wakati wa usiku malaika wa Bwana akaifungua milango ya gereza na kuwaongoza nje na kusema, \v 20 "Nendeni, mkasimame hekaluni na kuwaambia watu maneno yote ya Uzima huu." \v 21 Waliposikia hili, waliingia hekaluni wakati wa kupambazuka na kufundisha. Lakini, kuhani mkuu alikuja na wote waliokuwa naye, na kuitisha baraza lote kwa pamoja, na wazee wote wa watu wa Israeli, na kuwatuma gerezani ili kuwaleta mitume. \ No newline at end of file +\v 19 Hata hivyo, wakati wa usiku malaika wa Bwana akaifungua milango ya gereza na kuwaongoza nje na kusema, \v 20 "Nendeni, mkasimame hekaluni na kuwaambia watu maneno yote ya Uzima huu." \v 21 Waliposikia hili, waliingia hekaluni wakati wa kupambazuka na kufundisha. Lakini, kuhani mkuu alikuja na wote waliokuwa naye, na kuitisha baraza lote kwa pamoja, na wazee wote wa watu wa Israeli, na kuwatuma gerezani ili kuwaleta mitume. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 9f63b94..2aec23a 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -102,6 +102,7 @@ "05-12", "05-14", "05-17", + "05-19", "07-title", "07-01", "20-title",