Tue May 31 2022 12:30:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 12:30:52 +03:00
parent 3729accdaf
commit 819d6ae330
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 40 Petro akawatoa wote nje ya chumba, akapiga magoti akaomba, kisha akaugekia mwili, akasema, "Tabitha, amka". Baskafungua macho yake na alipomwona Petro akakaa chini. \v 41 Kisha Petro akampa mkono wake akamwinua, na alipowaita waamini na wajane, akawakabidhi kwao akiwa hai \v 42 Jambo hili likajulikana Yafa yote, na watu wengi wakamwamini Bwana. \v 43 Ilitokea Petro akakaa siku nyingi Yafa pamoja na mtu aitwaye Simoni, mtengeneza ngozi.
\v 40 Petro akawatoa wote nje ya chumba, akapiga magoti akaomba, kisha akaugekia mwili, akasema, "Tabitha, amka". Basi akafungua macho yake na alipomwona Petro akakaa chini. \v 41 Kisha Petro akampa mkono wake akamwinua, na alipowaita waamini na wajane, akawakabidhi kwao akiwa hai \v 42 Jambo hili likajulikana Yafa yote, na watu wengi wakamwamini Bwana. \v 43 Ilitokea Petro akakaa siku nyingi Yafa pamoja na mtu aitwaye Simoni, mtengeneza ngozi.