Fri May 27 2022 12:24:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-27 12:24:31 +03:00
parent 040d240e1d
commit 7f59e96ec2
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Walipokuwa wamekwenda katika kisiwa chote mpaka Pafo, walikuta mtu fulani mchawi, Myahudi nabii wa uongo, ambaye jina lake lilikuwa Bar Yesu. \v 7 Mchawi huyu alishirikiana na Liwali Sergio Paulus, aliyekuwa mtu mwenye akili. Mtu huyu aliwaalika Barnaba na Sauli, kwa sababu alihitaji kusikia neno la Mungu. \v 8 Lakini Elima "yule mchawi" (hivyo ndivyo jina lake lilivyo tafsiriwa) aliwapinga; alijaribu kumgeuza yule liwali atoke kwenye imani.
\v 6 Walipokuwa wamekwenda katika kisiwa chote mpaka Pafo, walimkuta mtu fulani mchawi, Myahudi nabii wa uongo, ambaye jina lake lilikuwa Bar Yesu. \v 7 Mchawi huyu alishirikiana na Liwali Sergio Paulus, aliyekuwa mtu mwenye akili. Mtu huyu aliwaalika Barnaba na Sauli, kwa sababu alihitaji kusikia neno la Mungu. \v 8 Lakini Elima "yule mchawi" (hivyo ndivyo jina lake lilivyo tafsiriwa) aliwapinga; alijaribu kumgeuza yule liwali atoke kwenye imani.