Sun Jul 03 2022 17:18:23 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-03 17:18:24 +03:00
parent 0db22e5c11
commit 7e13179a9c
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima ambao unaitwa wa mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, kiasi cha umbali wa kutembea umbali wa mwendo wa Sabato. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote walikuwa wamejitolea kwa nia moja kuomba, miongoni mwao walikuwemo wanawake, na Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima ambao unaitwa wa mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, kiasi cha umbali wa kutembea mwendo wa Sabato. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote walikuwa wamejitolea kwa nia moja kuomba, miongoni mwao walikuwemo wanawake, na Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.

View File

@ -43,6 +43,7 @@
"01-04",
"01-06",
"01-09",
"01-12",
"01-15",
"01-17",
"01-20",