Thu Jun 09 2022 22:57:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-09 22:57:50 +03:00
parent ff6ff4c9ff
commit 7d534a1dee
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 1 \v 1 Kitabu cha zamani nilikiandika, Theofilo, nikisema yote Yesu aliyoanza kufanya na kufundisha, \v 2 mpaka siku ambayo Yeye alipokelewa juu. Hii ilikuwa baada ya kutoa amri kupitia Roho Mtakatifu kwa mitume aliokuwa amewachagua. \v 3 Baada ya mateso yake, Yeye alionekana kwao akiwa hai pia na vithibitisho vingi vikishuhudia. Kwa siku arobaini alijidhihirisha kwao, na alizungumza kuhusu ufalme wa Mungu.
\c 1 \v 1 Kitabu cha zamani nilikiandika, Theofilo, nikisema yote Yesu aliyoanza kufanya na kufundisha, \v 2 mpaka siku ambayo Yeye alipokelewa juu. Hii ilikuwa baada ya kutoa amri kupitia Roho Mtakatifu kwa mitume aliokuwa amewachagua. \v 3 Baada ya mateso yake, Yeye alionekana kwao akiwa hai pia na vithibitisho vingi vikishuhudia. Kwa siku arobaini alijiweka wazi kwao, na alizungumza kuhusu ufalme wa Mungu.