Mon Jun 06 2022 18:57:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-06 18:57:25 +03:00
parent 026163d871
commit 79ccd278f7
2 changed files with 1 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Sasa ni kweli, mimi mwenyewe nilifikiria kwamba ningepisa kufanya mambo mengi dhidi ya jina la Yesu wa Nazareti. \v 10 Nilifanya haya katika Yerusalemu. Niliwafunga grezani watu wengi watakatifu wa Mungu, kwa mamlaka niliyoipokea kutoka kwa wakuu wa makuhani; na wakati walipokuwa wameuawa, nilipiga kura dhidi yao. \v 11 Mara nyingi niliwaadhibu katika masinagogi yote na nilijaribu kuwafanya waikane imani yao. Nilikuwa na hasira sana juu yao na niliwafukuza hata katika miji ya ugenini.
\v 9 Sasa ni kweli, mimi mwenyewe nilifikiria kwamba ningepisa kufanya mambo mengi dhidi ya jina la Yesu wa Nazareti. \v 10 Nilifanya haya katika Yerusalemu. Niliwafunga grezani watu wengi watakatifu wa Mungu, kwa mamlaka niliyoipokea kutoka kwa wakuu wa makuhani; na wakati walipokuwa wameuawa, nilipiga kura dhidi yao. \v 11 Mara nyingi niliwaadhibu katika masinagogi yote na nilijaribu kuwalazimisha wakufuru. Nilikuwa na hasira sana juu yao na niliwafukuza hata katika miji ya ugenini.

View File

@ -131,7 +131,6 @@
"26-01",
"26-04",
"26-06",
"26-09",
"28-title",
"28-01"
]