Tue May 31 2022 11:12:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 11:12:47 +03:00
parent 45c3f2a56a
commit 7662eea3c6
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 Basi kanisa lote katika Uyahudi, Galilaya na Samaria, lilikuwa na amani, na likajengwa, na kutembea katika hofu ya Bwana na faraja ya Roho Mtakatifu, kanisa likakua kwa kuongezeka idadi. \v 32 Kisha ilitokea Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote za mkoa, akawateremkia waumini waishio katika mji wa Lida.
\v 31 Basi kanisa lote katika Uyahudi, Galilaya na Samaria, lilikuwa na amani, na likajengwa, na likatembea katika hofu ya Bwana na faraja ya Roho Mtakatifu, kanisa likakua kwa kuongezeka idadi. \v 32 Kisha ilitokea Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote za mkoa, akawateremkia waumini waishio katika mji wa Lida.