Tue Jul 12 2022 18:45:46 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
cf9d1e4458
commit
7653814000
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 9 Hivyo Petro akamfuata Malaika na akatoka nje. Hakujua kwamba kilichofanywa na malaika kama n. Alidhani anaona maono. \v 10 Baada ya kupita lindo la kwanza na la pili, wakafika kwenye lango la chuma la kuingilia kwenda mjini, likafunguka lenyewe kwa ajili yao. Wakatoka nje na wakashuka kwenye mtaa, mara Malaika akamwacha.
|
||||
\v 9 Hivyo Petro akamfuata Malaika na akatoka nje. Hakujua kama kwamba kilichofanywa na malaika kilikuwa halisi. Alidhani anaona maono. \v 10 Baada ya kuwa wamepita lindo la kwanza na la pili, wakafika kwenye lango la chuma la kuingilia kwenda mjini, likafunguka lenyewe kwa ajili yao. Wakatoka nje na wakashuka kwenye mtaa, mara Malaika akamwacha.
|
Loading…
Reference in New Issue