Sat May 28 2022 09:12:34 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
e9e89500b0
commit
75c8b2ac30
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 14 Wakati mitume wa Yerusalemu waliposikia kuwa sasa Samaria imepokea neno la Mungu, wakawatuma kwao Petro na Yohana. \v 15 Wakati walipokuwa wakishuka waliwaombea kwamba, wampokee Roho Mtakatifu. \v 16 Kwakua hadi wakati huo, Roho Mtakatifu alikuwa hajawashukia hata mmoja wao; walikuwa tu wamebatizwa kwa jina la Bwana Yesu. \v 17 Ndipo Petro na Yohana wakawawekea mikono, nao wakampokea Roho Mtakatifu.
|
||||
\v 14 Wakati mitume wa Yerusalemu waliposikia kuwa sasa Samaria imepokea neno la Mungu, wakawatuma kwao Petro na Yohana. \v 15 Wakati walipokuwa wakishuka waliwaombea kwamba, wampokee Roho Mtakatifu. \v 16 Kwani mpaka wakati huo Roho Mtakatifu alikuwa hajawashukia hata Mmoja wao; walikuwa tu wamebatizwa kwa jina la Bwana Yesu. \v 17 Ndipo Petro na Yohana wakawawekea mikono, nao wakampokea Roho Mtakatifu.
|
Loading…
Reference in New Issue