Fri May 27 2022 11:44:16 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-27 11:44:16 +03:00
parent d54ea9dd29
commit 7480625890
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 Roho akasema na Filipo, "Sogea karibu na gari hili ukashikamane nalo. \v 30 "Hivyo Filipo akamwedea mbio, akamsikia akisoma katika kitabu cha nabii Isaya; akasema, Je unafahamu unachosoma?" \v 31 Muethiopia akasema, "nitawezaje mtu asiponiongoza?" Akamsihi Filipo apande garini na kuketi pamoja naye.
\v 29 Roho akasema na Filipo, "Sogea karibu na gari hili ukashikamane nalo. \v 30 "Hivyo Filipo akamwedea mbio, akamsikia akisoma katika kitabu cha nabii Isaya; akasema, Je unafahamu unachosoma?" \v 31 Naye Muethiopia akasema, "Nitawezaje mtu asiponiongoza?" Akamsihi Filipo apande garini na kuketi pamoja naye.