Thu Jun 09 2022 16:41:29 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
f92356572b
commit
6c3f6f8da1
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 33 Wakati mwanga wa mapambazuko ulipokuwa unatokea, Paulo akawasihi wote angalau wale kidogo. Akasema, "Hii ni siku ya kumi na nne mnasuburi bila kula, hamjala kitu. \v 34 Hivyo nawasihi mchukue chakula kidogo, kwa sababu hii ni kwa ajili ya kuishi kwenu; na hakuna hata unywele mmoja wa vichwa vyenu utakaopotea. \v 35 Alipokwisha kusema hayo, akachukua mkate akamshukuru Mungu mbele ya macho ya kila mtu. Kisha akaumega mkate akaanza kula.
|
||||
\v 33 Wakati mwanga wa mapambazuko ulipokuwa unatokea, Paulo akawatia moyo wote angalau wale kidogo. Akasema, " Siku ya leo ni siku ya kumi na nne ambayo mmekuwa hivyo hivyo mnasuburi bila kula, hamjala kitu. \v 34 Hivyo nawasihi mchukue chakula kidogo, kwa sababu hii ni kwa ajili ya kuishi kwenu; na hakuna hata unywele mmoja wa vichwa vyenu utakaopotea. \v 35 Alipokwisha kusema hayo, akachukua mkate akamshukuru Mungu mbele ya macho ya kila mtu. Kisha akaumega mkate akaanza kula.
|
Loading…
Reference in New Issue