Thu Jun 16 2022 11:56:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 11:57:00 +03:00
parent 2c58774172
commit 6c36216ee5
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Kisha Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, "Ninyi wakuu wa watu, na wazee, \v 9 kama sisi siku ya leo tunahojiwa kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa - kwa namna gani mtu huyu alifanywa mzima? \v 10 Acha hilo lijulikane kwenu nyote na kwa watu wote katika Israel, kwamba kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye mlimsulibisha, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, ni kwa njia yake kwamba mtu huyu anasimama hapa mbele yenu akiwa mwenye afya.
\v 8 Kisha Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, "Ninyi wakuu wa watu, na wazee, \v 9 kama sisi siku ya leo tunahojiwa kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa, na kwa namna gani mtu huyu alifanywa mzima? \v 10 Acha hilo lijulikane kwenu nyote na kwa watu wote katika Israel, kwamba kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye mlimsulibisha, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, ni kwa njia yake kwamba mtu huyu anasimama hapa mbele yenu akiwa mwenye afya.