Tue May 31 2022 07:35:23 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 07:35:23 +03:00
parent 5299946191
commit 6a8b02ec83
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Lakini Petro akamwambia; fedha yako na iangamie pamoja nawe, kwa sababu umefikiri kuwa karama ya Mungu inapatikana kwa pesa. \v 21 Hauna sehemu katika jambo hili, kwa sababu moyo wako si mnyoofu mbele za Mungu. \v 22 Hivyo basi tubu haya maovu yako na kumwomba Mungu labda atakusamehe fikra za moyo wako. \v 23 Kwa maana naona uko katika sumu ya uchungu na kifungo cha dhambi."
\v 20 Lakini Petro akamwambia; fedha yako na iangamie pamoja nawe, kwa sababu umefikiri kuwa karama ya Mungu inapatikana kwa pesa. \v 21 Hauna sehemu katika jambo hili, kwa sababu moyo wako si mnyoofu mbele za Mungu. \v 22 Hivyo basi, tubu uovu yako na kumwomba Mungu labda atakusamehe fikra za moyo wako. \v 23 Kwa maana naona uko katika sumu ya uchungu na kifungo cha dhambi."