Tue May 31 2022 08:36:46 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
0ff26e2580
commit
69a45fe90b
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 1 Lakini Sauli, aliendelea kusema vitisho hata vya kifo kwa wanafunzi wa Bwana, alikwenda kwa kuhani mkuu \v 2 na kumwomba barua kwa ajili ya masinagogi huko Dameski, ili kwamba akimpata mtu aliye katika Njia ile, awe mwanaume au mwanamke, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.
|
||||
\c 9 \v 1 Lakini Sauli, bado akiendelea kuongea vitisho hata vya kifo kwa wanafunzi wa Bwana, alikwenda kwa kuhani mkuu \v 2 na kumwomba barua kwa ajili ya masinagogi huko Dameski, ili kwamba akimpata mtu aliye katika Njia ile, awe mwanaume au mwanamke, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.
|
Loading…
Reference in New Issue