Wed Jun 08 2022 22:43:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-08 22:43:54 +03:00
parent cc4ea51ac8
commit 647b98bdb7
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Paulo alienda katika sinagogi akanena kwa ujasiri kwa muda wa miezi mitatu. Alikuwa akiongoza majadiliano na kuwashawishi watu kuhusu mambo yanayohusu ufalme wa Mungu. \v 9 Lakini Wayahudi wengine walikuwa wakaidi na wasiotii, walianza kusema mabaya kuhusu njia ya Kristo mbele ya umati. Basi Paulo aliachana nao na akawatenga waaminio mbali nao. Naye alianza kuongea kila siku katika ukumbi wa Tirano. \v 10 Hii iliendelea kwa miaka miwili, kwa hiyo wote waliokuwa wanaishi katika Asia walisikia neno la Bwana, wote Wayahudi na Wayunani.
\v 8 Paulo alienda katika sinagogi akanena kwa ujasiri kwa muda wa miezi mitatu. Alikuwa akiongoza majadiliano na kuwashawishi watu kuhusu mambo yanayohusu ufalme wa Mungu. \v 9 Lakini Wayahudi wengine walikuwa wakaidi na wasiotii, walianza kusema mabaya kuhusu njia ya Kristo mbele ya umati. Basi Paulo aliachana nao na akawatenga waaminio mbali nao. Naye alianza kuongea na wao kila siku katika ukumbi wa Tirano. \v 10 Hii iliendelea kwa miaka miwili, kwa hiyo wote waliokuwa wanaishi katika Asia walisikia neno la Bwana, wote Wayahudi na Wayunani.