Thu Jun 09 2022 23:31:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-09 23:31:51 +03:00
parent db120beebe
commit 5e182ab2ed
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, kiasi cha umbali wa kutembea siku ya Sabato. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote hawa kwa kusudi waliungana kama mtu mmoja, kwa juhudi walikuwa wakiendelea katika maombi, pamoja nao walikuwepo wanawake, Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, kiasi cha umbali wa kutembea siku ya Sabato. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote kwa pamoja walikuwa wamejitoa kwa nia moja kuomba, miongoni mwao walikuwemo wanawake, na Ma hawa kwa kusudi waliungana kama mtu mmoja, kwa juhudi walikuwa wakiendelea katika maombi, pamoja nao walikuwepo wanawake, Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.