Tue Jun 14 2022 12:53:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-14 12:53:25 +03:00
parent 1ce05295de
commit 5a971c55db
3 changed files with 5 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 Mara hiyo akawachukua askari na jemadari akaukimbilia umati. Wakati Watu walipomwona mkuu wa jeshi na askari, wakaacha kumpiga Paulo. \v 33 Kisha mkuu wa jeshi alimkaribia na akamshika Paulo, na akaamuru afungwe minyororo miwili. Akamuuliza yeye ni nani na amefanya nini.
\v 32 Mara hiyo akawachukua askari na jemedari akaukimbilia umati. Wakati Watu walipomwona mkuu wa jeshi na askari, wakaacha kumpiga Paulo. \v 33 Kisha mkuu wa jeshi alimkaribia na akamshika Paulo, na akaamuru afungwe minyororo miwili. Akamuuliza yeye ni nani na amefanya nini.

View File

@ -1 +1 @@
\v 34 Baadhi ya watu kwenye umati walikuwa wanapayuka kitu hiki na wengine kingine. Kwa kuwa jemadari hakuweza kuwaambia chochote kwa sababu ya zile kelele, akaamuru Paulo aletwe ndani ya ngome. \v 35 Basi alipofika kwenye ngazi, akachukuliwa na askari kwa sababu ya ghasia za umati. \v 36 Maana umati wa watu walimfuata na waliendelea kupiga kelele, "Mwondoeni huyu!"
\v 34 Baadhi ya watu kwenye umati walikuwa wanapayuka kitu hiki na wengine kingine. Kwa kuwa jemedari hakuweza kuwaambia chochote kwa sababu ya zile kelele, akaamuru Paulo aletwe ndani ya ngome. \v 35 Basi alipofika kwenye ngazi, akachukuliwa na askari kwa sababu ya ghasia za umati. \v 36 Maana umati wa watu walimfuata na waliendelea kupiga kelele, "Mwondoeni huyu!"

View File

@ -363,6 +363,8 @@
"21-20",
"21-22",
"21-25",
"21-27"
"21-27",
"21-30",
"21-32"
]
}