Thu Jun 16 2022 12:54:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 12:55:00 +03:00
parent 2ce0d20f50
commit 59a3b5d946
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Kisha Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, "Ninyi watawala wa watu, na wazee, \v 9 kama sisi siku ya leo tunahojiwa kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa, na kwa namna gani mtu huyu alifanywa mzima, \v 10 Acha hilo lijulikane kwenu nyote na kwa watu wote katika Israel, kwamba kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye mlimsulibisha, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, ni kwa njia yake kwamba mtu huyu anasimama hapa mbele yenu akiwa mwenye afya.
\v 8 Kisha Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, "Ninyi watawala wa watu, na wazee, \v 9 kama sisi siku ya leo tunahojiwa kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa, na kwa namna gani mtu huyu alifanywa mzima, \v 10 acha hilo lijulikane kwenu nyote na kwa watu wote katika Israel, kwamba kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye mlimsulibisha, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, ni kwa njia yake kwamba mtu huyu anasimama hapa mbele yenu akiwa mwenye afya.