Fri Jun 03 2022 16:19:02 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-03 16:19:03 +03:00
parent 1acfd6c8c4
commit 5800c6bda2
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Kwa hiyo tumemtuma Yuda na Sila ambao watawaambia mambo yayo hayo kwa maneno yao. \v 28 Kwa kuwa ilionekana vyema kwa Roho Mtakatifu na kwetu, kutoweka juu yenu mzigo mkubwa kuliko mambo haya yaliyo ya lazima: \v 29 kwamba mgeuke kutoka kwenye vitu vitolewavyo sadaka kwa sanamu, damu, vitu vya kunyongwa, na uasherati. Kama mtajiepusha na vitu hivi, itakuwa vyema kwenu. Kwa herini."
\v 27 Kwa hiyo tumemtuma Yuda na Sila ambao watawaambia mambo yayo hayo kwa maneno yao. \v 28 Kwa kuwa ilionekana vyema kwa Roho Mtakatifu na kwetu, kutoweka juu yenu mzigo mkubwa kuliko mambo haya yaliyo ya lazima: \v 29 kwamba mjizuie kutoka kwenye vitu vitolewavyo sadaka kwa sanamu, damu, vitu vya kunyongwa, na uasherati. Kama mtajiepusha na vitu hivi, itakuwa vyema kwenu. Kwa herini."