Tue May 31 2022 17:37:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 17:37:32 +03:00
parent 364bc01600
commit 53b12d499a
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Kwa pamoja watu wa mataifa na Wayahudi (pamoja na viongozi wao) walifanya jaribio la kuwatenda vibaya na kuwaponda kwa mawe Paulo na Barnaba, \v 6 Lakini mara tu baada ya kulitambua hilo, walikimbilia katika miji ya Likaonia, Listra na Derbe, na maeneo yanayozunguka pale, \v 7 na huko waliendelea kuu=iinjili. \v 5 Kwa pamoja watu wa mataifa na Wayahudi (pamoja na viongozi wao) walifanya jaribio la kuwatenda vibaya na kuwaponda kwa mawe Paulo na Barnaba, \v 6 Lakini mara tu baada ya kulitambua hilo, walikimbilia katika miji ya Likaonia, Listra na Derbe, na maeneo yanayozunguka pale, \v 7 na huko waliendelea kuihubiri injili.

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja aliyekaa, hakuwa na nguvu miguuni mwake, kilema kutoka tumboni mwa mama yake, hajawahi kutembea. \v 9 Mtu huyu alimsikia Paulo akiongea. Paulo alimkazia macho na akaona kwamba alikuwa na imani ya kuponywa. \v 10 Hivyo alisema kwake kwa sauti ya juu, "Simama kwa miguu yako." Na yule mtu aliruka juu na kuanza kutembea. \v 8 Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja aliyekaa, hakuwa na nguvu miguuni mwake, kilema kutoka tumboni mwa mama yake, ambaye hajawahi kutembea. \v 9 Mtu huyu alimsikia Paulo akiongea. Paulo alimkazia macho na akaona kwamba alikuwa na imani ya kuponywa. \v 10 Hivyo alisema kwake kwa sauti ya juu, "Simama kwa miguu yako." Na yule mtu aliruka juu na kuanza kutembea.

View File

@ -216,6 +216,7 @@
"13-50", "13-50",
"14-title", "14-title",
"14-01", "14-01",
"14-03" "14-03",
"14-05"
] ]
} }