diff --git a/20/22.txt b/20/22.txt index 6844adc..f6347c3 100644 --- a/20/22.txt +++ b/20/22.txt @@ -1 +1 @@ -\v 22 Na sasa, angalieni, mimi, ninaenda Yerusalemu, nikiwa nimelazimishwa na Roho Mtakatifu , bila kujua nini kitatokea kwangu huko, \v 23 ila kwa kuwa Roho Mtakatifu hunishuhudia mimi katika kila mji na anasema kwamba minyororo na mateso ndivyo vinavyoningojea. \v 24 Lakini mimi si kufikiria kwamba maisha yangu ni kwa njia yoyote ya thamani kwangu, ili niweze kumaliza mwendo wangu na huduma niliyopokea kutoka kwa Bwana Yesu, kuishuhudia injili ya neema ya Mungu. \ No newline at end of file +\v 22 Na sasa, angalieni, mimi, ninaenda Yerusalemu, nikiwa nimelazimishwa na Roho Mtakatifu , bila kujua nini kitatokea kwangu huko, \v 23 Isipokuwa kwamba Roho Mtakatifu hunishuhudia mimi katika kila mji na anasema kwamba minyororo na mateso ndivyo vinavyoningojea. \v 24 Lakini mimi si kufikiria kwamba maisha yangu ni kwa njia yoyote ya thamani kwangu, ili niweze kumaliza mwendo wangu na huduma niliyopokea kutoka kwa Bwana Yesu, kuishuhudia injili ya neema ya Mungu. \ No newline at end of file