Tue May 31 2022 17:51:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 17:51:32 +03:00
parent fa8b441ced
commit 31e13d66ae
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Umati ulipoona alichokifanya Paulo, waliinua sauti zao, wakisema katika lahaja ya Kilikaonio, "miungu imekuwa kama wanadamu." \v 12 Walimwita Barnaba "Zeu," na Paulo "Herme" kwa sababu alikuwa msemaji mkuu. \v 13 Kuhani wa Zeu, ambaye hekalu lake lilikuwa nje ya mji, alileta fahari la ng'ombe na mtungo wa maua mpaka kwenye lango la mji, yeye na umati walitaka kutoa sadaka.
\v 11 Umati ulipoona alichokifanya Paulo, waliinua sauti zao, wakisema katika lahaja ya Kilikaonio, "miungu imekuwa kama wanadamu na imeshuka kwetu." \v 12 Walimwita Barnaba "Zeu," na Paulo "Herme" kwa sababu alikuwa msemaji mkuu. \v 13 Kuhani wa Zeu, ambaye hekalu lake lilikuwa nje ya mji, alileta fahari la ng'ombe na mtungo wa maua mpaka kwenye lango la mji, yeye na umati walitaka kutoa sadaka.