Sat Jul 09 2022 00:53:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-09 00:53:35 +03:00
parent 750ac0a2e6
commit 2f805d6080
3 changed files with 3 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Wakati Petro akiwa anaongea naye, alienda ndani akakuta watu wengi wamekusanyika pamoja. \v 28 Akawaambia, "Ninyi wenyewe mnajua kuwa si halali kwa Myahudi kushirikiana na au kumtembelea mgeni. Lakini Mungu amenionyesha mimi kuwa sipaswi kumwita mtu yeyote najisi au mchafu. \v 29 Na ndiyo maana nimekuja bila kubishana, nilipoitwa. Hivyo nakuuliza kwa nini ulinita."
\v 27 Wakati Petro akiwa anaongea naye, alienda ndani akakuta watu wengi wamekusanyika pamoja. \v 28 Akawaambia, "Ninyi wenyewe mnajua kuwa si halali kwa Myahudi kushirikiana na au kumtembelea mgeni. Lakini Mungu amenionyesha mimi kuwa sipaswi kumwita mtu yeyote najisi au mchafu. \v 29 Na ndiyo maana nimekuja bila kubishana, nilipoitwa. Hivyo nakuuliza kwa nini ulituma nije."

View File

@ -1 +1 @@
\v 30 Kornelio akasema, "Siku nne zilizopita, wakati kama huu, nilikuwa naomba muda wa saa tisa mchana ndani ya nyumba yangu; Na tazama, mtu alisimama mbele yangu mwenye mavazi yenye kung'aa. \v 31 Akasema 'Kornelio maombi yako yamesikiwa na Mungu, na zawadi zako kwa masikini zimemkumbusha Mungu juu yako. \v 32 Hivyo tuma mtu Yafa na akamwite mtu mmoja anayeitwa Simoni aje kwako, ambaye pia huitwa Petro. ambaye anayeishi kwa mtengenezaji wa Ngozi mmoja aitwaye Simoni ambaye nyumba yake iko pembeni mwa bahari'. \v 33 Kwa hiyo mara moja nilikutumana. Wewe ni mwema umekuja. Sasa basi, sisi sote tupo hapa mbele za Mungu kusikia kila kitu ambacho umeangizwa na Bwana kusema."
\v 30 Kornelio akasema, "Siku nne zilizopita, wakati kama huu, nilikuwa naomba muda wa saa tisa mchana ndani ya nyumba yangu; na tazama, mtu alisimama mbele yangu mwenye mavazi yenye kung'aa. \v 31 Akasema 'Kornelio maombi yako yamesikiwa na Mungu, na zawadi zako kwa masikini zimemkumbusha Mungu juu yako. \v 32 Hivyo tuma mtu Yafa na akamwite mtu mmoja anayeitwa Simoni aje kwako, ambaye pia huitwa Petro. ambaye anayeishi kwa mtengenezaji wa Ngozi mmoja aitwaye Simoni ambaye nyumba yake iko pembeni mwa bahari'. \v 33 Kwa hiyo mara moja nilikutumana. Wewe ni mwema umekuja. Sasa basi, sisi sote tupo hapa mbele za Mungu kusikia kila kitu ambacho umeangizwa na Bwana kusema."

View File

@ -190,7 +190,7 @@
"10-22",
"10-24",
"10-25",
"10-30",
"10-27",
"10-34",
"10-36",
"10-39",