Sat Jun 04 2022 22:23:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-04 22:23:32 +03:00
parent 1f17a01698
commit 2681e4ea5b
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Baada ya siku kadhaa, mfalme Agripa na Bernike walifika Kaisaria kufanya ziara rasmi kwa Festo. \v 14 Baada ya kukaa hapo kwa siku nyingi, Festo aliwasilisha kesi ya Paulo kwa mfalme; Akasema, 'Mtu mmoja aliachwa hapa na Feliki kama mfungwa. \v 15 Nilipokuwa Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walileta mashtaka juu ya mtu huyu kwangu, nao waliuliza juu ya hukumu dhidi yake. \v 16 Mimi niliwajibu kwamba haikuwa desturi ya Warumi kumtoa mshitakiwa yeyote kabla hajapata nafasi ya kuwakabili washitaki wake na kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili.
\v 13 Baada ya siku kadhaa, mfalme Agripa na Bernike walifika Kaisaria kufanya ziara rasmi kwa Festo. \v 14 Baada ya kukaa hapo kwa siku nyingi, Festo aliwasilisha kesi ya Paulo kwa mfalme; Akasema, 'Mtu mmoja aliachwa hapa na Feliki kama mfungwa. \v 15 Nilipokuwa Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walileta mashtaka juu ya mtu huyu kwangu, nao waliuliza juu ya hukumu dhidi yake. \v 16 Mimi niliwajibu kwamba haikuwa desturi ya Warumi kumtoa mshitakiwa yeyote kabla hajapata fursa ya kuwakabili washitaki wake na kujitetea dhidi ya tuhuma zao zinazomkabili.