Tue May 31 2022 12:26:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 12:26:52 +03:00
parent 4b429a5cd1
commit 1861b710fe
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 38 Kwa vile Lida ilikuwa karibu na Yafa, na wanafunzi walisikia kwamba Petro alikuwa huko, waliwatuma watu wawili kwake, wakimsihi, "Njoo kwetu bila kuchelewa". \v 39 Petro akaamka na akaondoka pamoja nao. Alipofika, walimleta katika chumba cha juu. Na wajane wote walisimama karibu naye wakilia, wakimwonyesha koti na nguo ambazo Dorcas aliwashonea wakati yeye alikuwa pamoja nao.
\v 38 Kwa vile Lida ilikuwa karibu na Yafa, na wanafunzi walisikia kwamba Petro alikuwa huko, waliwatuma watu wawili kwake, wakimsihi, "Njoo kwetu bila kuchelewa". \v 39 Petro akaamka na akaondoka pamoja nao. Alipofika, walimleta katika chumba cha juu. Na wajane wote walisimama karibu naye wakilia, wakimwonyesha kanzu na nguo ambazo Dorcas aliwashonea wakati yeye alikuwa pamoja nao.