Wed Jun 08 2022 17:02:43 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-08 17:02:43 +03:00
parent 2dda7ca8cd
commit 127cd5f49d
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 18 \v 1 Baada ya mambo haya, Paulo aliondoka Athene kwenda Korintho. \v 2 Huko akampata Myahudi aitwaye Akwila mtu wa kabila la Ponto, ambaye alikuwa ametoka hivi karibuni kutoka Italia pamoja na mke wake Prisila, kwa sababu Klaudia alikuwa ameamuru Wayahudi wote waondoke Roma; Paulo akaja kwao; \v 3 Paulo akaishi na kufanya kazi nao kwani yeye anafanya kazi inayofanana na yao. Wao walikuwa ni watengeneza mahema.
\c 18 \v 1 Baada ya mambo haya, Paulo aliondoka Athene kwenda Korintho. \v 2 Huko akampata Myahudi aitwaye Akwila mtu wa kabila la Ponto, ambaye alikuwa ametoka hivi karibuni kutoka Italia pamoja na mke wake Prisila, kwa sababu Klaudia alikuwa ameamuru Wayahudi wote waondoke Roma; Paulo akaja kwao; \v 3 Paulo akaishi na kufanya kazi nao kwani yeye alifanya kazi inayofanana na yao. Wao walikuwa ni watengeneza mahema.