Thu Jun 16 2022 11:48:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 11:49:00 +03:00
parent e1d98d2ae8
commit 0fd4a4e65e
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Kisha Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, "Ninyi wakuu wa watu, na wazee, \v 9 kama sisi siku ya leo tunahojiwa kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa - kwa namna gani mtu huyu alifanywa mzima? \v 10 Hebu lijulikane hilo kwenu na kwa watu wote katika Israel, kwamba kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye mlimsulibisha, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, ni kwa njia yake kwamba mtu huyu anasimama hapa mbele yenu akiwa mwenye afya.
\v 8 Kisha Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, "Ninyi wakuu wa watu, na wazee, \v 9 kama sisi siku ya leo tunahojiwa kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa - kwa namna gani mtu huyu alifanywa mzima? \v 10 Acha hilo lijulikane kwenu na kwa watu wote katika Israel, kwamba kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye mlimsulibisha, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, ni kwa njia yake kwamba mtu huyu anasimama hapa mbele yenu akiwa mwenye afya.