Fri May 27 2022 10:16:19 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-27 10:16:20 +03:00
parent 826b458cf7
commit 0fc13ed931
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Basi kukawa na njaa na dhiki kuu katika nchi ya Misri na Kanani, na baba zetu hawakupata chakula. \v 12 Lakini Yakobo aliposikia kuna nafaka Misri, aliwatuma baba zetu kwa mara ya kwanza. \v 13 Katika safari ya pili Yusufu akajitambulisha kwa ndugu zake, na familia ya Yusufu ikajulikana kwa Farao.
\v 11 Basi kukawa na njaa na dhiki kuu katika nchi ya Misri na Kanani, na baba zetu hawakuweza kupata chakula. \v 12 Lakini Yakobo aliposikia kwamba kuna nafaka Misri, aliwatuma baba zetu kwa safari ya kwanza. \v 13 Kwa safari ya pili Yusufu alijitambulisha kwa kaka zake, na familia ya Yusufu ikajulikana kwa Farao.