Tue May 31 2022 18:03:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 18:03:32 +03:00
parent 3d1987838b
commit 0c180e969a
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Lakini mitume, Barnaba na Paulo, walipolisikia hili, walirarua mavazi yao na kwa haraka walikwenda nje kwenye umati, wakilia \v 15 na kusema, "Enyi watu, kwanini mnafanya mambo haya? Na sisi pia ni binadamu wenye asili sawa na yenu. Tunawaletea habari njema, kwamba mgeuke kutoka kwenye vitu hivi visivyofaa na kumwelekea Mungu aliye hai, aliyeumba mbingu, dunia na bahari na kila kitu kilichomo. \v 16 Katika nyakati zilizopita, aliwaruhusu mataifa kutembea katika njia zao wenyewe. \v 14 Lakini mitume, Barnaba na Paulo, walipolisikia hili, walirarua mavazi yao na kwa haraka walikwenda nje kwenye umati, wakilia \v 15 na kusema, "Enyi watu, kwanini mnafanya mambo haya? Na sisi pia ni binadamu wenye asili sawa na yenu. Tunawaletea habari njema, kwamba inawapasa kugeuka kutoka kwenye vitu hivi visivyofaa na kumwelekea Mungu aliye hai, aliyeumba mbingu, dunia na bahari na kila kitu kilichomo. \v 16 Katika nyakati zilizopita, aliwaruhusu mataifa kutembea katika njia zao wenyewe.