Tue May 31 2022 09:58:46 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 09:58:47 +03:00
parent 3750be9d23
commit 0a02af7d62
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Hivyo Anania akaondoka, akaingia mle nyumbani; Akiweka mikono yake juu yake, akasema, "Ndugu Sauli, Bwana Yesu, aliyekutokea katika njia ulipokuwa unakuja, amenituma ili upate kuona tena na ujazwe Roho Mtakatifu." \v 18 Mara moja kitu kama magamba kilianguka kutoka kwa macho ya Sauli, naye akapata kuona, akasimama, na kubatizwa; akala chakula na kupata nguvu. \v 19 Akakaa pamoja na wanafunzi huko Dameski kwa siku nyingi.
\v 17 Hivyo Anania akaondoka, akaingia mle nyumbani; Akiweka mikono yake juu yake, akasema, "Ndugu Sauli, Bwana Yesu, aliyekutokea katika njia ulipokuwa unakuja, amenituma ili upate kuona tena na ujazwe Roho Mtakatifu." \v 18 Mara moja kitu kama magamba kilianguka kutoka kwa macho ya Sauli, naye akapata kuona, akasimama, na kubatizwa; \v 19 akala chakula na kupata nguvu. Akakaa pamoja na wanafunzi huko Dameski kwa siku nyingi.