Thu Jun 16 2022 01:56:19 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 01:56:20 +03:00
parent c8c868e606
commit 031722762f
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 3 \v 1 Sasa Peter na Yohana walikuwa wanaelekea katika hekalu wakati wa maombi, saa tisa. \v 2 Mtu fulani, kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na walikuwa wakimuweka pale kila siku kwenye mlango wa hekalu uitwao mzuri. Walikuwa wanamuweka pale kila siku ili aweze kuomba sadaka kutoka kwa watu waliokuwa wakielekea hekaluni. \v 3 Alipowaona Petro na Yohana wanakaribia kuingia hekaluni, aliomba sadaka.
\c 3 \v 1 Sasa Peter na Yohana walikuwa wanaelekea katika hekalu wakati wa maombi, saa tisa. \v 2 Mtu fulani, kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na walikuwa wakimuweka pale kila siku kwenye mlango wa hekalu uitwao Mzuri. Walikuwa wanamuweka pale kila siku ili aweze kuomba sadaka kutoka kwa watu waliokuwa wakielekea hekaluni. \v 3 Alipowaona Petro na Yohana wanakaribia kuingia hekaluni, aliomba sadaka.