sw_act_text_ulb/22/19.txt

6 lines
786 B
Plaintext
Raw Normal View History

<<<<<<< HEAD
\v 19 Nikasema, 'Bwana, wao wenyewe wanajua niliwafunga gerezani na kuwapiga wale waliokuamini katika kila sinagogi. \v 20 Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, Mimi pia nilikuwa nimesimama karibu na kuridhia na nilikuwa ninalinda nguo za wale waliomwua.' \v 21 Lakini aliniambia, 'Enenda, kwa sababu mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa mataifa."'
=======
\v 19 Nikasema, 'Bwana, wao wenyewe wanajua niliwafunga gerezani na kuwapiga wale waliokuamini katika kila sinagogi. \v 20 Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, Mimi pia nilikuwa nimesimama karibu na kukubali na nilikuwa nalinda nguo za wale waliomuua.' \v 21 Lakini aliniambia, 'Enenda, kwa sababu mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa mataifa."'
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c